Timu ya young african(YANGA) yaichapa timu ya mawenzi goli moja lililofungwa na herriter Makambo,mechi iliyokuwa na ushindani mkubwa.Mechi ilikuwa maalum ya kumuuaga nahodha wao Cannavaro ambaye anastaafu
YANGA YAICHAPA MAWENZI BAO 1
byKangaroodds.blogspot.com
-
0
