BET WISELY AND WIN WITH US.
NB: Click here to update/download kangaroo app
Kocha wa timu ya Manchester United,Jose Mourinho amejikuta yupo kwenye wakati mgumu baada ya kushtakiwa na Football Association kwa kosa la Kutoa maneno ya yakejeli.Kocha huyo alitoa maneno hayo baada ya mechi ya Manchester dhidi ya Newcastle katika dimba la Old Trafford, Manchester ilipigwa Goli mbili kipindi cha kwanza lakini walijitahidi na kushinda kwenye kipindi cha pili kwa kutoka 3-2 Goli la tatu likifungwa na Alexis Sanchez.
Manchester United ilicheza mechi nne mfululizo bila ushindi hivyo kumpelekea Jose Mourinho kuwa katika wakati mgumu na kibarua chake Old Trafford.
Ikumbukwe hii si mara ya kwanza kwa Jose Mourinho kushtakiwa,mnamo mwaka 2013amreno huyu aliwahi kupata mashtaka kama haya.