BASKETBALL BETTING.JIFUNZE KUBETI



KANGAROODDS BETTTING TIPS
 BET WISELY AND WIN WITH US.

NB: Click here to update/download  kangaroo app

Basketball Bet
Basketball betting ndiyo option nyingine rahisi ambayo mtu kuliwa si rahisi hivyo kama kwenye mchezo wa mpira wa miguu.

Isipokua kwenye basket hatupendelei sanaa kubeti ishu za normal eti timu flani ishinde au flani isishinde, kwani kwa basket mtu yoyote tu anashinda, na points za normal ni ndogo sanaa.



Sasa hapa tunabet kwa options tu yaan options za point (hizi points ni kama magoli tu uko kwenye football), so hizi point kwenye basket zinaanzia mbili mpaka tatu, yaan mtu akiscore basi jua hapo ni either point mbili au tatu, na kuna point ambazo zinatolewa bure kama penati ya football hizi zinaitwa free throw ambazo timu inaweza kupewa mbili au tatu, na tofaut ni kwamba hizi sio kama football zinatolewa tu kila dakika kama kuna faulo.

TOTAL POINTS

Sasa points hizi tunazibetia kwa ujumla wake yaani zitatokaje mwisho wa mechi au kwa kipindi gani?

Sasa utabet kwa kusema mechi flani mfano Cavaliers Vs Boston jumla itoe idadi ya point 205 so uta place hapo, hizi zenyewe utazikuta wamekuwekea hapo so utachagua ipi, mfano;

Total point over/under 205.5 =1.98

Total point over/under 207.5 =2.00

Total point 210.5=2.30






(= hii ni point za odds sasa yaani footbal ndo ile mnasema 3+ ina point 2 ipe hio)



Kwahiyo hapa umenielewa? Sio, ok tuendelee,







QUARTER BETS (4 QUARTERS)

Sasa basket imegawanyika kwa kitu kinachoitwa Quarter, yaan vipindi kadhaa wa kadhaa, na vipindi hivi ni vinne tu (kama football first half na second half) na hivi vipindi vya basket mara nyingi vina dk 10 kwa 10 tu kwa kipindi kimoja, ila NBA na ufilipino quarter zao zina dakika 12 kwa quarter moja, so quarter zote nne hizo ndo utazibetia kwa idadi ya point zake, mfano kota zote nne zitoe jumla ya point 190 na kuendelea, kwaio wakiwa wanatupia huku na huku wewe unakaa hapo tu unacheka unajua hela hio tayari.





Kwahiyo wazee hapa uangalifu wako unatakiwa uwe zaidi katika ligi zenye kueleweka hasa za ulaya nchi kama ujerumani, poland, israel, england na spain (kalili hapa mzee, maana kuna wazungu wengine ni vilaza kinyama hawafungani), ufilipino, brazili na marekani sana sanaaa, hasa hasa marekani NBA yaani utajiri nje nje mzee maana hawa NBA ni wamelaaniwa ktk basket unaweza kula hela kota ya tatu tu shughuli imeisha.






Basket ball inapatikana sana kwa makampuni kama meridian, sportspesa, 1XBET na wengine wachache.



Basket ni afadhali sanaaa, yaani una kula hela kwa muda mchache, ina uhakika kuliko football,haina presha maana mambo yanaweza kubadilika ndani ya dakika 2 tu ukafurahi mwenyewe sio kama football.

Pia kwenye quarter bet kuna uwezekano wakusema timu ipi ishinde kwenye quarter ipi.

Mfano kwenye quarter 1 unaweza kuamua home time ishinde au ifungwe au itoe draw.




aribu Basket, utaipenda sanaaa.

2 Comments

  1. Much attention-grabbing content you published here. Pretty nice post on basketball betting. I just stumbled upon your weblog and wanted to say that I have really enjoyed browsing your blog posts. After all I’ll be subscribing to your feed and I hope you write again soon! 안전놀이터 토토사이트

    ReplyDelete
  2. Basketball is pretty much thrilling sport with huge popularity in many countries especially in USA. Though betting not so alluring there but many guys take a try. Anyway, you made the content very meaningful and effective. If someone interested learning about safe toto, sports betting and game casino, these can be helpful.온라인카지노 메이저토토사이트 안전놀이터

    ReplyDelete
Previous Post Next Post