SAMMATTA KUIONGOZA TAIFA STARS MECHI YA TANZANIA NA CAPE VERDE


KANGAROODDS BETTTING TIPS
 BET WISELY AND WIN WITH US.

NB: Click here to update/download  kangaroo app

Cape verde kuikaribisha Tanzania kwenye michuano ya kuwania kufuzu Africa Cup of Nations,ambayo itafanyika tarehe 12 october 2018.




Timu zote mbili zinawachezaji wazuri ambapo Tanzania inawachezaji wakimataifa kama Mbwanna Sammatta ambaye anaichezea KRC GENK.Hivi karibuni Mbwanna Sammatta amehusishwa kuhamia kwenye vilabu vya ulaya kama Burnley,Westham au Everton.


Bonyeza hapa ili kusoma kuhusu uhamisho wa Sammatta Epl 
Tunategemea Samatta kuiongoza Vema Taifa Stars.



Post a Comment

Previous Post Next Post